Hili ni juma la 6 kati ya majuma 12 ambayo wanafunzi hawa wanatarajiwa kuhudhuria vipindi hivi vya hedhi salama na balehe, katika hili juma la 6 wanafunzi walifanya karakana ambapo waliwaalika wanafunzi wenzao ambao hawakupata nafasi ya kujiunga kwenye club, na badala yake hawa waliopata nafasi waliweza kuwafundisha wenzao yale yote waliyofundishwa ndani ya majuma 6 na kujibu maswali kwa usahihi kabisa bila uoga wala aibu, hii inaonyesha ni jinsi gani wanafunzi hawa wanavyoweza kua msaada kwa wanafunzi wenzao, ndugu na hata marafiki zao. Hongereni sana wafundishaji wetu wa kujitolea kutoka chuo cha Udaktari cha Mt. Francis-Ifakara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
The Property of

Popular Posts
-
Choo hiki ni mali ya taasis moja nyeti sana ya serikali, iliyopo jijini Dar-es-salaam-Posta Kama unavyoweza kuona hapo, hiki choo k...
-
Sioni sababu yeyote ya msingi ya taasisi yoyote kushindwa kurudishia milango ya vyoo pale inapobomoka, sielewi mjenzi wa vyoo hiv...
-
Miaka 7 iliyopita wakati Kasole Secrets wanaanzisha campaign za Hedhi Salama, ilionekana kama ni udhalilishaji kwa watoto wa kike na kina ...
-
Wanafunzi wa kike na wakiume wakikimbilia mbele ili waweze kupata fursa ya kua moja kati ya wanafunzi watakao unda club ya Pamoj...
-
Kipindi hiki kilikua live na kilichukua masaa 3 ambapo wananchi walipiga simu na kutuma meseji, ni kweli jamii yetu inahitaji msaada, c...
-
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni watengenezaji wa Pads za Glory, Katikati ni M...
-
Nilianza kufundisha kina mama kuhusu swala la hedhi salama tangu 2011, changamoto nilizozipata mimi, niligundua na wenzangu wengi wanazip...
Follow on Facebook
Blog Archive
-
▼
2016
(38)
-
▼
February
(9)
- WANAFUNZI WAWA WALIMU WA WANAFUNZI WENZAO KUHUSU H...
- HEDHI SALAMA MOJA KATI YA PROGRAM BORA , ILIYOCHAG...
- WAHAMASISHAJI WA MASWALA YA AFYA KATIKA KAMBI YA W...
- SHULE ZA WAKIMBIZI ZAPATA FURSA YA KUELIMISHWA JUU...
- WAKIMBIZI KAMBI YA NYARUGUSU WAPATA FURSA YA KUONG...
- WANAFUNZI IFAKARA HATUJA WAACHA NYUMA
- WANAFUNZI DAR-ES-SALAAM WAVUNJA UKIMYA KWA KISHIND...
- REGINA KWAY AVUNJA UKIMYA IFAKARA
- DINNA NYIRENDA AHAMASISHA WANAFUNZI KUVUNJA UKIMYA
-
▼
February
(9)
0 comments:
Post a Comment