Pongezi nyingi mno kwa wadau hawa ambao wameona uhitaji wa wanawake/mabinti hasa katika kuhakikisha wanaweza kujisitiri katika hali ya usafi na usalama wakati wowote na popote bila kudhalilika
Thursday, 21 April 2016
PAMOJA TANZANIA CLUBS WAAMUA KUONYESHA MFANO KWA WANAFUNZI WENZAO
12:16
No comments
Wanafunzi wa kiume waisafisha vyoo vyao, ikiwa ni moja ya shughuli zilizopangwa katika club ya Pamoja
Mwanafunzi wa kike katika Pamoja club akisafisha choo, ikiwa ni moja ya shughuli zilizopangwa ndani ya Pamoja club
Wanafunzi wote wakike kwa wakiume ndani ya Pamoja Club wakichota maji tayari kwa shughuli za usafi kuanza
Wanafunzi wa Pamoja Club wakinawa mikono mara baada ya zoezi la usafishaji choo kumalizika
Wanafunzi wote wa club ya Pamoja Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza zoezi la kusafisha choo, hongereni sana wakufunzi wetu, Lilian Benjamin (Hubert Kairuki) na Deusi Kapufi (KAM)
Subscribe to:
Posts (Atom)
The Property of
Popular Posts
-
Mwalimu Prisca Mihayo, kutoka shule ya sekondari Meli iliyopo Moshi Vijijini akikagua kazi za vikundi walizopewa watoto katika kujadili...
-
Mkurugenzi wa chuo cha Ualimu, bwana Justin Francis akimkaribisha mgeni rasmi Bi. Hyasintha Ntuyeko katika Mkutanano wa Kitaifa wa walim...
-
Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wakifurahia vyeti vyao baada ya kufaulu vizuri mtihani wa hedhi salama na ukuaji uliopima uelew...
-
Jo Rees, nurse mbobezi katika elimu ya afya ya uzazi akiendesha mafunzo ya wakufunzi wa Hedhi Salama katika kijiji cha Ifakara kilichopo...
-
Mwanafunzi kutoka shule ya msingi Matemboni, akimuonyesha mganga mkuu wa wilaya ya Moshi, Dr. Wonanji, pamoja na jopo lake jinsi ya kuten...
-
Dokta Aidat Mugula akizungumza na wanafunzi wa kiume walioonyesha shauku kubwa ya kutaka kuelewa zaidi juu ya maswala ya ukuaji B...
-
Katika mafunzo ya wakufunzi juu ya hedhi salama mradi unaofadhiliwa na ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na kutekelezwa na Kampuni ya ...
-
Ni wazi kwamba Serikali yetu ipo macho na wadau wa maendeleo pia wapo macho, katika kuona ni jinsi gani watakaa pamoja na kutafuta su...
-
Mratibu wa Mradi wa Afya wa Help Kids Edith Peter Mziray akiwasihi wanafunzi kuwa wasikivu wakati wa semina ya Hedhi salama ...
-
Wanafunzi wa kike wakichota maji tayari kwa kuanza zoezi la usafi wa choo, ambalo ni moja kati ya zoezi muhimu katika mtaala wa hedhi sal...
