Wanafunzi wa kike na wakiume wakikimbilia mbele ili waweze kupata fursa ya kua moja kati ya wanafunzi watakao unda club ya Pamoja Tanzania yenye lengo la kutoa mafunzo ya ukuaji na hedhi salama huku wanafunzi hao wakihakikisha wanashirikiana kwa pamoja katika kuweka mazingira ya shule hususani vyoo kua visafi wakati wote
Mjadala
wa wanafunzi mmoja mmoja ulioendeshwa na Bi. Hyasintha Ntuyeko,
Mkurugenzi mtendaji wa campuni ya Kasole secrets, wenye kulenga
kuwajengea wanafunzi uwezo wa kuweza kujifunza vyema wakiwa kwenye clubs
bila kuchekana, kuona aibu au kupeana majina mabaya ya utani ambayo
yanaweza kuathiri usikilizaji wao darasani
Mjadala
wa wanafunzi mmoja mmoja ulioendeshwa na Bi. Lilian Benjamin, mwanafunzi kutoka chuo cha udaktari cha Kairuki, wenye kulenga
kuwajengea wanafunzi uwezo wa kuweza kujifunza vyema wakiwa kwenye clubs
bila kuchekana, kuona aibu au kupeana majina mabaya ya utani ambayo
yanaweza kuathiri usikilizaji wao darasani
Mjadala
wa wanafunzi mmoja mmoja ulioendeshwa na Bw. Deusdedith Kapufi, mwanafunzi kutoka chuo cha udaktari cha Kam, wenye kulenga
kuwajengea wanafunzi uwezo wa kuweza kujifunza vyema wakiwa kwenye clubs
bila kuchekana, kuona aibu au kupeana majina mabaya ya utani ambayo
yanaweza kuathiri usikilizaji wao darasani
Bwana Deusdedith Kapufi akitoa muongozo kwa wanafunzi, akiwasihi kushirikiana kwa pamoja katika kujifunza wakiwa kwenye clubs, ili waweze kunufaika na mafundisho
Bi Lilian Benjamin, ambaye pia ndio mlezi wa club hii katika hii shule akitoa wito wa nidhamu kwa wanafunzi, ili waweze kwenda sawa katika club, Bi Lilian alisisitiza kua angefurahi sana kama wanafunzi wataweka mbele masomo haya ili wayaelewe kwa kina na baadae waje kuwafundisha wenzao ambao hawakupata nafasi ya kua kwenye club hii
Wanafunzi wakijaza mkataba wa makubaliano ya kujiunga na club na kua wasikivu huku wakishirikiana vyema na wanafunzi wenzao pamoja na mlezi wao wa club ili waweze kufikia malengo
0 comments:
Post a Comment