Program ya hedhi salama ni moja kati ya program bora iliyochaguliwa kwenda kushiriki maonyesho yanayofanywa na Umoja wa wanafunzi wa vyuo vya udaktari duniani,( IFMSA) maonyesho haya yatafanyika Malta nchini Netherlands, hongera sana timu ya wanafunzi wa udaktari nchini Tanzania(TAMSA), kwa kujitolea kwa moyo na akili zote kuwafundisha wanafunzi kuhusiana na hedhi salama pamoja na balehe, Kazi yenu nzuri imezaa matunda, Kwa mujibu wa TAMSA hii ni mara yao ya kwanza kwenda katika Tamasha hili wakiwa na kazi ya kijamii ya kuonyesha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
The Property of
Popular Posts
-
Bi Regina Kway, mwanafunzi wa udaktari katika chuo cha mtakatifu Francis kilichopo Ifakara-Morogoro, akiongea na wanafunzi wa sekondari k...
-
Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wakifurahia vyeti vyao baada ya kufaulu vizuri mtihani wa hedhi salama na ukuaji uliopima uelew...
-
Mwalimu Prisca Mihayo, kutoka shule ya sekondari Meli iliyopo Moshi Vijijini akikagua kazi za vikundi walizopewa watoto katika kujadili...
-
Mwanafunzi Dinna Nyirenda kutoka chuo cha Hubert Kairuki ambaye ni mfundashaji wa kujitolea katika programu ya hedhi salama na ...
-
Wanafunzi wa kike wakichota maji tayari kwa kuanza zoezi la usafi wa choo, ambalo ni moja kati ya zoezi muhimu katika mtaala wa hedhi sal...
-
Mradi wa hedhi salama umepata ufadhili wa kuweza kufanyika katika shule nne ( 2- za msingi na 2 za sekondary) katika w...
-
Program ya hedhi salama ni moja kati ya program bora iliyochaguliwa kwenda kushiriki maonyesho yanayofanywa na Umoja wa wanafunzi wa vyuo...
-
Wanafunzi Bravo sekondari wakifurahia vyeti vyao walivyotunukiwa baada ya kuhitimu mafunzo ya hedhi salama na ukuaji yaliyotolewa kwa mud...
-
Dokta Aidat Mugula akizungumza na wanafunzi wa kiume walioonyesha shauku kubwa ya kutaka kuelewa zaidi juu ya maswala ya ukuaji B...
Follow on Facebook
Blog Archive
-
▼
2016
(38)
-
▼
February
(9)
- WANAFUNZI WAWA WALIMU WA WANAFUNZI WENZAO KUHUSU H...
- HEDHI SALAMA MOJA KATI YA PROGRAM BORA , ILIYOCHAG...
- WAHAMASISHAJI WA MASWALA YA AFYA KATIKA KAMBI YA W...
- SHULE ZA WAKIMBIZI ZAPATA FURSA YA KUELIMISHWA JUU...
- WAKIMBIZI KAMBI YA NYARUGUSU WAPATA FURSA YA KUONG...
- WANAFUNZI IFAKARA HATUJA WAACHA NYUMA
- WANAFUNZI DAR-ES-SALAAM WAVUNJA UKIMYA KWA KISHIND...
- REGINA KWAY AVUNJA UKIMYA IFAKARA
- DINNA NYIRENDA AHAMASISHA WANAFUNZI KUVUNJA UKIMYA
-
▼
February
(9)
0 comments:
Post a Comment