Dokta Aidat Mugula akizungumza na wanafunzi wa kiume walioonyesha shauku kubwa ya kutaka kuelewa zaidi juu ya maswala ya ukuaji
Bi
Salma Welele, mwanafunzi kutoka chuo cha udaktari IMTU, akizungumza na
mabinti juu ya ukuaji na hedhi salama, mabinti hawa pia hawakutaka
kubaki nyuma kwa kuuliza maswali mbalimbali
Wanafunzi
waridhia kujaza form ya kukubali kujiunga na club ya Pamoja Tanzania
ili waweze kujifunza kwa kina juu ya ukuaji na hedhi salama
Bi.
Dinna Nyirenda, mwanafunzi kutoka chuo cha udaktari cha Kairuki na
mlezi wa club akiongea na mabinti juu ya umuhimu wa kujiunga na Pamoja
club hapo shuleni
Bi. Hyasintha Ntuyeko akiwasikiliza mabinti walipokua wakishirikisha uelewa wao juu ya maswala ya hedhi salamaWanafunzi waki saini karatasi ya makubaliano kuonyesha utayari wao kujiunga na Pamoja Tanzania club shuleni hapo |
Wanafunzi wakikimbilia mbele kuokota karatasi ili waweze kua moja kati ya wanafunzi watakao chaguliwa kuunda clubs shuleni hapo |
Picha ya pamoja na wanafunzi waliofanikiwa kuunda club ya Pamoja Tanzania
0 comments:
Post a Comment