Saturday, 13 May 2017
Thursday, 11 May 2017
EATV media house yatumia siku ya wanawake duniani kusaidia mabinti katika kipindi cha Hedhi
14:43
No comments
| Mjadala wa Hedhi Salama ukipewa tafakari zaidi juu ya changamoto mbalimbali zinazopitiwa na mabinti hasa wawapo shuleni. Wa mwisho Kulia ni Maza Senare, mkurugenzi wa Maznat Bridal, akifuatiwa na Joyce Kiria, mtangazaji na muandaaji wa kipindi EATV. Anae fuata ni Bi. Hyasintha Ntuyeko, mkurugenzi wa kampuni ya Kasole Secrets na wa mwisho kabisa ni Bi Irene, mtangazaji EATV. |
Picha ya pamoja, baada ya kumaliza mjadala wa Hedhi Salama uliohitimisha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani katika kituo cha habari cha EATV
Monday, 23 January 2017
Maafisa jamii 40 kutoka shirika la Kimataifa la Compassion Tanzania wapatiwa mafunzo ya Hedhi Salama
04:57
No comments
Program ya mafunzo ya Hedhi Salama iliruhusu mijadala midogo ya vikundi ambapo kila kundi lilipatiwa nafasi ya kuwakilisha mijadala hiyo na kuchangiwa na wakufunzi wenzao.
Michezo ni moja kati ya zana muhimu mno katika kujifunza
Kundi lingine la wakufunzi wakiwasilisha mada yao ambayo pia ilitoa nafasi kwa wakufunzi wengine kuchangia mada
Wakufunzi wakisikiliza kwa makini maelekezo waliyokua wakipatiwa
Bi. Hyasintha Ntuyeko, Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets akiongoza moja ya mada katika mafunzo ya Hedhi Salama
Wakufunzi wakijifunza jinsi ya kutengeneza pedi za kufua, ikiwa ni moja ya sehemu ya mafunzo ya Hedhi Salama
Wakufunzi wakiume wakifurahia zoezi la kutengeneza pedi za kufua
Bi Zuhura akitengeneza pedi ya kufua
Wakufunzi wakitengeneza pedi za kufua katika darasa la mafunzo ya Hedhi Salama
Wakufunzi wakifurahia bidhaa ya pedi ya kufua waliyoitengeneza wakati wa mafunzo ya Hedhi Salama
Subscribe to:
Posts (Atom)
The Property of
Popular Posts
-
Miaka 7 iliyopita wakati Kasole Secrets wanaanzisha campaign za Hedhi Salama, ilionekana kama ni udhalilishaji kwa watoto wa kike na kina ...
-
Mwalimu Prisca Mihayo, kutoka shule ya sekondari Meli iliyopo Moshi Vijijini akikagua kazi za vikundi walizopewa watoto katika kujadili...
-
Jo Rees, nurse mbobezi katika elimu ya afya ya uzazi akiendesha mafunzo ya wakufunzi wa Hedhi Salama katika kijiji cha Ifakara kilichopo...
-
Kampuni ya Kasole Secrets imetambulisha program yake ya Pamoja club katika mashule, program hii inalenga kuwajengea uwezo , kuwapa nia ...
-
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza katika sherehe za hedhi salama duniani, zilizofanyika Tanzania kwa mara ya kwanza ...
-
Kampuni ya Kasole secrets inayoendesha mtandao wa hedhi salama, leo wameendesha mafunzo ya hedhisalama na balehe kwa wanafunzi wana...
-
Katika mafunzo ya wakufunzi juu ya hedhi salama mradi unaofadhiliwa na ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na kutekelezwa na Kampuni ya ...
-
Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wakifurahia vyeti vyao baada ya kufaulu vizuri mtihani wa hedhi salama na ukuaji uliopima uelew...
-
Dokta Aidat Mugula akizungumza na wanafunzi wa kiume walioonyesha shauku kubwa ya kutaka kuelewa zaidi juu ya maswala ya ukuaji B...