Program ya mafunzo ya Hedhi Salama iliruhusu mijadala midogo ya vikundi ambapo kila kundi lilipatiwa nafasi ya kuwakilisha mijadala hiyo na kuchangiwa na wakufunzi wenzao.
Michezo ni moja kati ya zana muhimu mno katika kujifunza
Kundi lingine la wakufunzi wakiwasilisha mada yao ambayo pia ilitoa nafasi kwa wakufunzi wengine kuchangia mada
Wakufunzi wakisikiliza kwa makini maelekezo waliyokua wakipatiwa
Bi. Hyasintha Ntuyeko, Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets akiongoza moja ya mada katika mafunzo ya Hedhi Salama
Wakufunzi wakijifunza jinsi ya kutengeneza pedi za kufua, ikiwa ni moja ya sehemu ya mafunzo ya Hedhi Salama
Wakufunzi wakiume wakifurahia zoezi la kutengeneza pedi za kufua
Bi Zuhura akitengeneza pedi ya kufua
Wakufunzi wakitengeneza pedi za kufua katika darasa la mafunzo ya Hedhi Salama
Wakufunzi wakifurahia bidhaa ya pedi ya kufua waliyoitengeneza wakati wa mafunzo ya Hedhi Salama
0 comments:
Post a Comment