Monday, 10 December 2018

Fida International yaandaa mafunzo ya Hedhi Salama kwa mabalozi wa Afrika Mashariki




 Mabalozi wa Hedhi Salama Afrika mashariki wakifanya zoezi la majadiliano lenye nia ya kuwajengea ukaribu baina yao
 Wakufunzi kutoka Kasole Secrets wakiandaa zana mbalimbali tayari kwa kutoa mafunzo kwa mabalozi hawa
 Balozi Nancy kutoka Kenya na Balozi Fazili kutoka DRC-Congo wakiwa tayari kabisa kwa kuanza mafunzo
 Dr. Atu mkufunzi kutoka Kasole Secrets akitoa utambulisho wa ratiba ya mafunzo
 Mabalozi wa Hedhi Salama ambao pia ni wafanyakazi wa Fida International kutoka Kenya, Uganda, DRC-CONGO and Tanzania wakisikiliza kwa makini utambulisho wa ratiba ya mafunzo
 Wakufunzi kutoka Kasole Secrets wakiendelea kuandaa zana mbalimbali tayari kwa kuanza mafunzo ya Hedhi Salama
 Mabalozi wa Hedhi Salama wakifanya zoezi lingine lenye lengo la kuwasaidia kupanga mikakati na kukabiliana na changamoto wawapo kazini

Dr. Atu akifundisha mchakato mzima wa jinsi balehe inavyoanza katika mwili wa binadamu
Mabalozi wakiwasilisha maoni yao baada ya mijadala ya vikundi
Mijadala ya vikundi ikiendelea, ambapo kila balozi aliweza kupata nafasi ya kutoa maoni na mapendekezo yake
 Mabalozi wakifanya zoezi lingine lenye lengo la kurahisisha uelewa wao kuhusu mchakato wa balehe
 Balozi Eva kutoka Uganda akiwasilisha mchango wake jinsi alivyoelewa kuhusu mzunguko wa hedhi
 Mabalozi kutoka Tanzania na DRC-Congo nao wakiwasilisha maoni yao baada ya mjadala wa vikundi
 Mchungaji David kutoka Kenya pia akiwasilisha maoni yake
Kundi lingine la mabalozi wakiwasilisha maoni yao baada ya mijadala ya pamoja katika vikundi
 Balozi Jacque kutoka Kenya, pia akiwasilisha maoni yake baada ya majadiliano ya vikundi
Meneja mradi wa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Virpi; akitoa maelekezo kwa mabalozi wa Hedhi Salama- Afrika Mashariki
 Picha ya pamoja baada ya kumaliza mafunzo ya Hedhi Salama kwa mabalozi wa Afrika Mashariki








0 comments: