Saturday, 13 May 2017

Mafunzo shirikishi ni njia bora kabisa katika kuwafundisha wanafunzi juu ya balehe na Hedhi Salama

Bi Hyasintha Ntuyeko akitoa mada kuhusu Hedhi Salama mjini Musoma
Wakufunzi mjini Musoma wakitazama video ya busy body ili kuongeza wigo zaidi kwa yale waliyokua wamefundishwa katika semina ya Hedhi Salama

Wakufunzi mjini Musoma wakisikiliza kwa makini mafunzo ya Hedhi Salama
Dr. Aidat akifundisha mjini Musoma juu ya mchakato mzima wa hedhi; inatokea vipi na kwa sababu zipi

Wakufunzi mjini Musoma wakiainisha kwa umakini kabisa sehemu mbalimbali za nje zilizopo kwenye kiungo cha uzazi wa mwanamke kama mchoro unavyouliza
Dr. Aidat akifundisha jijini Mwanza juu ya mchakato mzima wa hedhi; inatokea vipi na kwa sababu zipi

Wakufunzi jijini Mwanza wakinakili kwa Umakini yale wanayofundishwa katika semina ya Hedhi Salama
Wakufunzi jijini Mwanza wakisikiliza kwa umakini semina ya Hedhi Salama
Mkufunzi Kelvin Tobias kutoka Musoma akiuliza swali
Wakufunzi mjini Musoma wakinakili kwa Umakini yale wanayofundishwa katika semina ya Hedhi Salama

Dr. Aidat akitoa ufafanuzi kwa wakufunzi mjini Musoma kuhusu Hedhi Salama na nini kizingatiwe
Dr. Aidat akifundisha jijini Mwanza juu ya mchakato mzima wa hedhi; inatokea vipi na kwa sababu zipi
Bi Hyasintha Ntuyeko akifundisha jijini Mwanza juu ya mbinu mbalimbali za ufundishaji wa Hedhi Salama utakao zingatia jinsia ya kike na ya kiume
Mkufunzi kutoka jijini Mwanza akiuliza swali
Wakufunzi wakifanya mchezo wa bingo ukiwa ni moja ya nyenzo rahisi kabisa katika kuvunja ukimya na kurahisisha zoezi la ufundishaji wa Hedhi Salama kwa watoto wa kike na kiume

0 comments: