Dr. Aidat Mugula akiwa pamoja na wakufunzi wa Hedhi Salama kutoka Femina Hip tayari kwa kuanza mafunzo ya Hedhi Salama
Wakufunzi wa Hedhi Salama wakiwa katika majadiliano ya vikundi wakati wa semina ya Hedhi Salama

Wakufunzi wa Hedhi Salama wakiwasilisha mijadala yao kwa wakufunzi wenzao wa Hedhi Salama baada ya kumaliza mijadala ya vikundi
Mkufunzi wa Hedhi Salama kutoka Femina akiandaa vipimo tayari kwa kuanza zoezi la kutengeneza pedi
Mkufunzi akijifunza jinsi ya kuweka pedi (disposable) kwenye chupi
Mkufunzi akionyesha moja ya sample za pedi za kutumia na kutupa (disposable)
Mkufunzi Bernard akijifunza jinsi ya kuweka pedi za kufua (reusable) kwenye chupi
Mkufunzi Bernard akionyesha sampuli ya pedi ya kufua (reusable)
Mkufunzi Bernard akionyesha sampuli ya pedi ya kufua (reusable)
Mkufunzi Ambokile akionyesha sampuli ya pedi ya kufua (reusable) aliyoitengeneza mwenyewe katika mafunzo ya Hedhi Salama
Mkufunzi Ambokile akionyesha sampuli ya pedi ya kufua (reusable) aliyoitengeneza mwenyewe katika mafunzo ya Hedhi Salama
Mkufunzi Victor akionyesha sampuli ya pedi ya kufua (reusable) aliyoitengeneza mwenyewe katika mafunzo ya Hedhi Salama
Mkufunzi Victor akionyesha sampuli ya pedi ya kufua (reusable) aliyoitengeneza mwenyewe katika mafunzo ya Hedhi Salama
Mkufunzi Sekela akionyesha sampuli ya pedi ya kufua (reusable) aliyoitengeneza mwenyewe katika mafunzo ya Hedhi Salama
Mkufunzi Nuru akionyesha sampuli ya pedi ya kufua (reusable) aliyoitengeneza mwenyewe katika mafunzo ya Hedhi Salama
Mkufunzi Bernard akionyesha sampuli ya pedi ya kufua (reusable) aliyoitengeneza mwenyewe katika mafunzo ya Hedhi Salama |
Mkufunzi Zauja akionyesha sampuli ya pedi ya kufua (reusable) aliyoitengeneza mwenyewe katika mafunzo ya Hedhi Salama |
Wakufunzi wote wakionyesha sampuli ya pedi za kufua (reusable) walizotengeneza wenyewe katika mafunzo ya Hedhi Salama
Wakufunzi wote wakionyesha sampuli ya pedi za kufua (reusable) walizotengeneza wenyewe katika mafunzo ya Hedhi Salama
Mkurugenzi wa Femina; Bi. Minou akinawa mikono kwa kutumia kibuyu chirizi kilichotengnezwa na wakufunzi katika semina ya Hedhi Salama kama njia moja wapo ya kutngeneza kinawia mikono cha asili maalumu kwa ajili ya wanafunzi kunawa mikono mara baada ya kutoka chooni
Mkurugenzi
wa Femina; Bi. Minou akinawa mikono kwa kutumia kibuyu chirizi
kilichotengnezwa na wakufunzi katika semina ya Hedhi Salama kama njia
moja wapo ya kutngeneza kinawia mikono cha asili maalumu kwa ajili ya
wanafunzi kunawa mikono mara baada ya kutoka chooni

Picha ya pamoja baada ya kumaliza mfunzo ya Hedhi Salama
Picha ya pamoja baada ya kumaliza mfunzo ya Hedhi SalamaPicha ya pamoja baada ya kumaliza mfunzo ya Hedhi Salama
0 comments:
Post a Comment