Dean of studies kutoka chuo cha udaktari cha Mt. Francis akifungua rasmi mdahalo wa hedhi salama chuoni hapo, mdahalo uliowahusisha walimu wa sekondari, wanafunzi ya masomo ya udaktari na madaktari bingwa wa magonjwa ya kina mama
Mwalimu kutoka shule ya sekondari Benignis akichangia mada
Dr. Omary kutoka hospital ya Mt. Francis akielezea hali jinsi ilivyo kwa wanawake wanaopata matatizo ya hedhi
Bi. Regina Kway mwanafunzi St. Francis na trainer wa hedhi salama akifanya presentantion juu ya program ya hedhi salama na ukuaji aliyoiendesha shuleni Benignis
Mwalimu Kisumo kutoka shule ya sekondari Kilombero akielezea changamoto za wanafunzi mashuleni juu ya hedhi salama bali pia Mwl. Kisumo alitoa maoni yake juu ya nini kifanyike
Picture ya pamoja na wanafunzi wa St. Francis, walimu wa sekondari na team nzima ya Kasole








0 comments:
Post a Comment