Pongezi nyingi mno kwa wadau hawa ambao wameona uhitaji wa wanawake/mabinti hasa katika kuhakikisha wanaweza kujisitiri katika hali ya usafi na usalama wakati wowote na popote bila kudhalilika
Thursday, 21 April 2016
PAMOJA TANZANIA CLUBS WAAMUA KUONYESHA MFANO KWA WANAFUNZI WENZAO
12:16
No comments
Wanafunzi wa kiume waisafisha vyoo vyao, ikiwa ni moja ya shughuli zilizopangwa katika club ya Pamoja
Mwanafunzi wa kike katika Pamoja club akisafisha choo, ikiwa ni moja ya shughuli zilizopangwa ndani ya Pamoja club
Wanafunzi wote wakike kwa wakiume ndani ya Pamoja Club wakichota maji tayari kwa shughuli za usafi kuanza
Wanafunzi wa Pamoja Club wakinawa mikono mara baada ya zoezi la usafishaji choo kumalizika
Wanafunzi wote wa club ya Pamoja Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza zoezi la kusafisha choo, hongereni sana wakufunzi wetu, Lilian Benjamin (Hubert Kairuki) na Deusi Kapufi (KAM)
Subscribe to:
Posts (Atom)
The Property of

Popular Posts
-
Choo hiki ni mali ya taasis moja nyeti sana ya serikali, iliyopo jijini Dar-es-salaam-Posta Kama unavyoweza kuona hapo, hiki choo k...
-
Sioni sababu yeyote ya msingi ya taasisi yoyote kushindwa kurudishia milango ya vyoo pale inapobomoka, sielewi mjenzi wa vyoo hiv...
-
Miaka 7 iliyopita wakati Kasole Secrets wanaanzisha campaign za Hedhi Salama, ilionekana kama ni udhalilishaji kwa watoto wa kike na kina ...
-
Wanafunzi wa kike na wakiume wakikimbilia mbele ili waweze kupata fursa ya kua moja kati ya wanafunzi watakao unda club ya Pamoj...
-
Kipindi hiki kilikua live na kilichukua masaa 3 ambapo wananchi walipiga simu na kutuma meseji, ni kweli jamii yetu inahitaji msaada, c...
-
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni watengenezaji wa Pads za Glory, Katikati ni M...
-
Nilianza kufundisha kina mama kuhusu swala la hedhi salama tangu 2011, changamoto nilizozipata mimi, niligundua na wenzangu wengi wanazip...