![]() |
Ambassador Inmi akielekezwa jinsi ya kutoa pad kwa kutumia machine ya kisasa kabisa ya kutolea pads |
![]() |
Ambassodor Inmi akionyesha pad aliyofanikiwa kuitoa kupitia mashine yakutolea pads |
![]() |
Wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini kabisa hotuba ya Ambassodar Inmi katika ufunguzi wa project ya Sauti ya Binti |
![]() |
Ambassador Inmi akiongea katika ufunguzi wa project ya Sauti ya Binti |
![]() |
Mjadala wa nini kifanyike katika kumsaidia mtoto wa kike ikifanywa na wadau mbalimmbali ikiwemo wanafunzi, walimu na viongozi wa dini |
![]() |
Wanafunzi wakisoma risala kwa balozi Inmi |
![]() |
Wanafunzi wakimkabidhi Balozi Inmi zawadi |
![]() |
Mrs Hawa, kamishna mkuu wa ubalozi wa Malawi nchini Tanzania akisoma vitabu mbalimbali vinavyotarajiwa kuwafikia vijana balehe kupitia project ya Sauti ya Binti |
0 comments:
Post a Comment