Tuesday, 5 June 2018

UNFPA yaichagua Kasole Secrets kuhudhuria MHM symposium in South Africa ikiwa ni moja kati ya kampuni 10 Africa Mashariki na Kusini zinazoongozwa na vijana



Bi. Hyasintha Ntuyeko akionyesha kazi mbalimbali ambazo Kasole Secrets Company inazifanya nchini Tanzania
Baadhi ya washiriki wa MHM symposium kutoka nchi mbalimmbali wakitembelea banda la Kasole Secrets
Waziri Bathabile Dlamini nchini South Africa alipotembelea banda la Kasole Secrets
Moja ya washiriki wa MHM Symposium, akitazama baadhi ya michezo inayotumika katika kufundishia balehe na ukuaji
Dr. Natasha, mshiriki kutoka Zambia akinunua Glory pads kwa bei ya premium ikiwa ni mchango wake katika kuhakikisha elimu ya ukuaji na hedhi inawafikia wanafunzi wengi zaidi Tanzania
Bi. Hyasintha Ntuyeko akieleza kwa kina kuhusu kazi wanazozifanya na kwanini Kasole Secrets imeamua kuwekeza kwenye Hedhi Salama

Mtafiti na muandishi wa vitabu vya Vipindi vya Maisha na Afya Njema Kipindi cha Ujana nchini Tanzania, Marni Sorma alipotembelea banda la Kasole Secrets

King Kaka, msanii kutoka Kenya ambaye pia ni mwanaharakati katika kuhakikisha mtoto wa kike anapata pedi, alitembelea banda la Kasole Secrets










0 comments: