Saturday, 17 March 2018

Mafunzo ya Hedhi Salama yafika katika shule zenye mahitaji maalumu


Dr. Aidat, akitoa mafunzo kuhusu Balehe na Hedhi Salama kwa vijana wanaoishi na ulemavu, vijana hawa wanatarajiwa kufundisha shule mbili zenye mahitaji maalumu jijini Dar-es-Salaamu

Wakufunzi wakisikiliza kwa makini mafunzo kuhusu  Balehe
Dr. Aidat na Dr. Atu, wakifafanua zaidi  kuhusu viungo mbalimbali katika mfumo wa uzazi wa mwanaume

Wanafunzi wakitumia michoro na maswali kujifunza zaidi kuhusu viungo mbalimbali katika mfumo wa uzazi wa mwanamke
Dr. Aidat, akitoa ufafanuzi kuhusu aina mbalimbali za pedi zinazowezwa kutumiwa na wasichana wakati wa hedhi
Dr. Atu akifundisha kuhusu Hedhi Salama
Mkufunzi Salama, akijibu na kufafanua maswali waliyoyajadili katika kazi za vikundi walizopatiwa wakati wa mafunzo
Wakufunzi wakijadiliana kuhusu majibu ya maswali waliyopatiwa kama moja ya kazi za vikundi wakati wa mafunzo
Wakufunzi wakionyesha baadhi ya pads walizojifunza kutengeneza wakati wa mafunzo ya Hedhi Salama
Wakufunzi wapokea vyeti vyao baada ya kuhitimisha mafunzo ya Hedhi Salama na Balehe, tayari kwenda kufundisha shule walizopangiwa

0 comments: