TUCHUKUE HATUA
Wadau wa maendeleo, Serikali na taasisi binafsi tunawajibu wa kuchukua hatua kwa kufanya kazi bega kwa bega katika kuhakikisha tunaboresha sera, miundombinu, elimu kuhusu Hedhi Salama na upatikanaji wa vifaa bora na salama vya kujisitiria